Ngozi ni kiungo muhimu cha mwili kinacholinda viungo vingine na kutoa kinga dhidi ya mambo ya nje. Hata hivyo, mara nyingine ngozi inaweza kukumbwa na matatizo mbalimbali, ikiwa ni pamoja na chunusi. Chunusi ni hali ya ngozi inayosababishwa na vijipele vinavyojitokeza kwa sababu ya uzalishaji wa mafuta kupita kiasi, uchafu wa ngozi, au mabadiliko ya homoni.
Matatizo ya ngozi yanaweza kuathiri watu wa rika zote na aina zote za ngozi. Aina za ngozi zinajumuisha ngozi kavu, mafuta, kawaida, na mchanganyiko. Kila aina inahitaji utunzaji maalum ili kudumisha afya na uzuri wa ngozi. Kwa mfano, watu wenye ngozi kavu wanaweza kuhitaji matumizi ya moisturizer mara kwa mara ili kuzuia ngozi kuwa kavu na kukasirika.
Chunusi, kwa upande mwingine, inaweza kuwa changamoto kubwa, haswa kwa vijana wakati wa kubalehe. Inasababishwa na mabadiliko ya homoni ambayo huchochea uzalishaji wa mafuta na hivyo kusababisha vijipele. Kuna njia kadhaa za kuzuia na kutibu chunusi, ikiwa ni pamoja na kutumia dawa za ngozi, kubadilisha lishe, na kudumisha usafi wa ngozi.
Usafi wa ngozi ni muhimu sana kwa afya yake. Kuosha uso kwa mara kwa mara na sabuni inayolingana na aina ya ngozi ni hatua muhimu. Pia, kuepuka kugusa uso mara kwa mara na mikono iliyochafu inaweza kusaidia kuzuia maambukizi. Matumizi ya kemikali laini na bidhaa zisizo na harufu kali pia ni njia nzuri ya kudumisha usawa wa ngozi.
Lishe ina jukumu muhimu katika afya ya ngozi. Kula lishe yenye virutubisho kama vile vitamini A, C, na E inaweza kusaidia kudumisha afya na kung’arisha ngozi. Pia, kunywa maji ya kutosha ni muhimu kwa kuweka ngozi kuwa na unyevu.
Ni muhimu kufahamu kwamba kila mtu anaweza kuwa na mahitaji tofauti ya huduma ya ngozi. Kwa hiyo, kushauriana na mtaalamu wa huduma ya ngozi ni hatua muhimu ili kupata ushauri sahihi na matibabu yanayofaa kwa mahitaji yako maalum.
Katika kuhitimisha, huduma bora ya ngozi ni muhimu kwa afya na uzuri wa ngozi. Kwa kuzingatia aina yako ya ngozi na kuchukua hatua sahihi za kudumisha usafi, unaweza kuzuia matatizo mengi ya ngozi na kufurahia ngozi yenye afya na yenye kung’aa.
Pia kwa wale wenye uhitaji wa tiba ya ngozi nipigie kupitia nambari 0747 531 853
Dawa hii imetumika zaidi ya miaka 5000 na kwenye vitabu vya dini mbili kubwa duniani(ukeisto na uisilamu) dawa hii imeandikwa. Dawa hii ni BLACK SEED
Sasa kwenye uzi huu utajifunza ufanyaji kazi wa dawa hii kisanyasi ya mwili
Ni nini BLACK SEEDS
Black seed ni mmea ambao asili yake ni nchi za Asia na Pia kaskazini mwa nchi za Africa kama vile Misri, Morocco, Algeria na baadhi ya nchi za ulaya kwa uchache sana na hata huku kwetu mmea huu upo kwa uchache mno
Sasa mbegu za mmea huu husagwa na kutengeneza unga mweusi ambao unga huu ndo hutumika kama dawa na pia mbegu zake hutoa mafuta ambayo pia ni dawa kwa maradhi mengi sana.
Mmea wa BLACK SEED una virutubisho na viambata vingi sana ila ndani ya viambata hivyo kuna kitu kinaitwa thymoquinone, ambacho kiambata hichi husaidia kufyonza sumu zote mwilini, pia kuimarisha kinga ya mwili na pia kuzilinda seli zako zisiharibike haraka na pia kukulinda kutokana na maradhi sugu.
Viambata vipatikanavyo ndani ya Black seeds Black seeds ni chanzo cha virutubisho kama vile; • Calcium • Madini chuma • Madini ya zinc • Madini ya copper • Madini ya thiamine • Madini ya Niacin • Madini ya phosphorus • Madini ya Folic acid
Pia ina vitamins zote muhimu mwilini mwako na pia ina mafuta muhimu yaitwayo Omega-3 Na pia ina mchanganyiko wa viambata vidogovidogo zaidi ya 400. Na mpaka sasa wanasanyasi bado wanaendeleza tafiti zao juu ya mmea huu.
Faida za black seed mwilini
1. Kuongeza kinga mwilini, kutokana na viambata vingi muhimu vipatikanyo katika mmea huu, husaidia mwili kuzalisha seli za ulinzi kwa wingi sana hivyo hata kama ulikuwa na maradhi yanayoathiri mfumo wako wa kinga kama vile UKIMWI basi dawa hii itakusaidia kuzidisha seli za ulinzi kwa wingi.
2. Kuweka sawa matatizo ya presha, kwa wale wenye matatizo ya presha ya aina Yoyote ile iwe ya kupanda ama ya kushuka dawa hii imeonyesha uwezo mkubwa sana wa kuweka sawa mfumo huo na binafsi ninazo shuhuda nyingi sana za watu waliopona presha kwa kutumia Black seed tu.
3. Kushusha sukari, watu wenye matatizo ya kisukari wenzetu wazungungu walipofanya tafiti zao wakagundua Black seeds imeshusha sukari kwa wingi kuliko dawa nyingine yoyote
4. Matatizo ya nguvu za kiume, kwa wanaume ambao wanajikuta wanawahi sana kufika kileleni ama wanaoshindwa kabisa kuwaridhisha wenzi wao basi dawa pekee yenye matokeo makubwa ni hii na itakutibu tatizo lako moja kwa moja
5. Afya ya uzazi kwa wanawake, kwa wale wanawake wanaopata matatizo ya maumivu makali wakati wa tendo, ama wale wanaotoa uchafu ama harufu mbaya ukeni, au hushiki mimba na umri unazidi kwenda then chukua Black seeds changanya na asali kisha kunywa kijiko kimoja asubuh na kijiko kimoja jioni kisha baada ya wiki utajishukuru
6. Kupunguza uzito, kwa wale wenye matatizo ya uzito mkubwa na wanashindwa kushusha uzito huo kwa njia za kawaida, sasa mkombozi wako ndo huyu utatumia Black seed na utafanya mazoezi kidogo tu kisha baada ya muda mfupi sana utajishukuru
7. Matatizo ya kifua sugu yasiyo kwisha, kuna watu wanakohoa mwaka mzima ama wana mafua yasiyo kwisha na umehangaika sana bila kupata suluhisho sasa suluhisho lako ndo hili
8. Matatizo ya kansa, kwa wale ambao wapo kwenye hatari ya kupata kansa ya aina flani aidha kwa sababu kwenye ukoo wenu kuna mtu alikuwa nayo au mazingira yako ya kazi yako uifanyayo kuwa ni hatarishi sana nakushauri uanze kutumia Black seeds mapema kabla hujakutwa na tatizo hili
9. Kuimarisha afya ya figo na ini, nadhani wote tunajua umuhimu wa viungo hivi viwili sasa nikwambie kitu. Kutibu maradhi yanayo athiri viungo hivi sio chini ya million 3 na kuendelea sasa kabla hujafikia hatua hii jitahid uwe na black seed ndani kwako tena kwa gharama ndogo sana
10. Matatizo ya mmeng’enyo wa chakula, kuna watu wana matatizo ya choo kigumu ama matatizo ya bawasiri na wakienda hospital wanabidi wafanyiwe upasuaji ambao utagharimu pesa nyingi sana. Sasa kwanini usiwe na kitu kama hichi ndani kwako kisha uone kama utaendelea kusumbuliwa na matatizo haya
11. Maumivu ya mifupa hasa kwenye magoti na miguu kuwaka moto, kadri binadam anavyozidi kuwa mkubwa na viungo navyo huanza kuchoka kidogokidogo na kupelekea matatizo flani ndani ya mwili, ila kwa madini muhimu yapatikanayo ndani ya Black seed basi matatizo haya yote huisha tena ndani ya muda mfupi sana
12. Maumivu ya kiuno, mwenye Maumivu ya kiuno itabidi utumie mafuta ya Black seed kupaka maeneo yote ya kiuno kila siku asubuh na jioni kwa mda wa siku 7 tu utaona mabadiliko makubwa
Hizi ni faida chache zipatikanazo kutoka kwenye Black seeds maana kuna nyingine nyingi ambazo sijaziandika.
Jambo la kuzingatia ni kuwa dawa hii imetumika karne na karne na itaendelea kutumika kwa vizazi vijavyo ila kwa sasa watu wengi hawaijui na ili uweze kuwa mjanja ni kuiwahi mapema kabla watu wengi hawajaijua na hivyo kupelekea kuwa adimu kupatikana au ukaja kuipata kwa gharama ya juu sana.
Sasa Jipatie leo Black seed iliyo ongezewa viambata Muhimu kama Kahawa na unga wa mbegu za Tende hivyo Kuipa nguvu na kufanya matokeo yawe makubwa na ya haraka zaidi kwa Mtumiaji.
Gharama ya new blackseed with instant coffee ni shillings 120,000 tu.
Wasiliana nasi kupitia nambari 0747 531 853 au nitumie ujumbe wako WhatsApp kwenye nambari hiyohiyo
Ugonjwa wa pelvic inflammatory disease (PID) ni ugonjwa ambao huathiri viungo vya uzazi kwa wanawake, ugonjwa huu ni miongoni mwa magonjwa ya zinaa.
Ugonjwa huu mara nyingi huwakumba wale wanawake wanao shiriki ngono na wanaume zaidi ya wawili yaani mtu mwenye wapenzi wengi tena bila ya kutumia kinga.
Tafiti zinaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 5 ya wanawake wanao ugonjwa huu.
Walio hatarini kupata PID ni Wafuatao:
Watu walio hatarini zaidi ni wale wenye magonjwa ya zinaa kama vile kaswende na kisonono au ambae alishawahi kupata maambukizi ya magonjwa haya. Japokuwa unaweza kupata PID bila ya kuwa na magonjwa haya.
Walio hatarini kupata PID ni;
● wanawake wenye wapenzi wengi
● kufanya mapenzi bila kutumia kinga
● waliotoka kufasafishwa kizazi kwa kutumia vifaa
● walio wahi kuwa na ugonjwa huu hapo nyuma
Dalili za PID
Baadhi ya wanawake wenye PID hawaonyeshi dalili zozote na wala hawajijui kama wana tatizo hili. Ila sio wote ambao hawataonyesha dalili wengine wataonyesha dalili zifuatazo;
● Maumivu chini ya kitovu
● Homa
● Maumivu wakati wa kufanya mapenzi
● Maumivu wakat wa kujisaidia haja ndogo
● Hedhi isiyokuwa na mpangilio maalum
● Kutokwa na majimaji yenye harufu mbaya ukeni
● Mwili kuchoka na kuishiwa na nguvu
● Maumivu ya tumbo kwa baadhi ya watu
NINI TIBA YA PID
PID hutibiwa kwa kutumia antibiotics maana ugonjwa huu ni wa bacteria hivyo magonjwa yote ya bacteria hutibiwa kwa kutumia antibiotics.
Ndani ya muda mchache wa kuanza kutumia dawa utaona mabadiliko pia ni lazima umalize dose hata Kama unajiona umepona. Na pia kipindi upo kwenye dose jiepushe kufanya mapenzi.
Kwa wale ambao kinga zao za mwili zimeshuka hivyo kupelekea kuchelewa kupona basi anaweza kutumia tiba lishe au virutubisho vinavyo uzwa na makampuni tofaut ili uweze kuongeza kinga yako.
Muandishi
Niite Doctor Abdul, daktari mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka mitano kwenye sekta hii ya Afya, pia nimehudumia maelfu ya wagonjwa na nimekuwa sababu ya maelfu ya watu kupona matatizo yao.
Kwa sasa nimejikita kwenye Tiba Lishe au Tiba Mbadala kwa sababu nimeona wagonjwa wengi wakipona kupitia Tiba hizi na hata Wagonjwa Wangu walio tumia Tiba hizi wamerudisha Mrejesho unao ridhisha Sana.
Ugumba/utasa; Ni hali Ya kushindwa kuzalisha kwa mwanaume na kwa mwanamke ni kushidwa kushika ujauzito baada ya majaribio kwa muda wa mwaka mzima. Kwa mwanamke mwenye umri zaidi ya miaka 35, ina maanisha umeshindwa kupata ujauzito baada ya miezi 6 ya majaribio.
Wanawake ambao wamezaa mara moja tu na hawajaweza kushika mimba tena baada ya majaribio kwa zaidi ya mwaka mmoja hawa pia wanaitwa Tasa
Tatizo hili la uzazi sio la mwanamke peke yake bali hata mwanaume anaweza akawa na tatizo hili kwa kushindwa kuzalisha mbegu zenye uwezo wa kutungisha mimba
SABABU ZINAZOPELEKEA MWANAUME KUPATA TATIZO LA UZAZI
Kwa ujumla matatizo ya uzazi kwa wanaume husababishwa na;
● Uzwalishaji hafifu wa manii/mbegu zisizo na uwezo
● Uchache wa manii
● Umbo baya la manii/ mbegu iliyokuwa na muonekano usio wa kawaida
● Utembeaji wa manii, kuanzia inapotoka kiunoni hadi inapofika kwenye pumbu ili kusubiri matumizi kukiwa na tatizo hapa katikati basi inaweza kupelekea tatizo la uzazi
Watu gani wapo katika hatari zaidi kupata tatizo hili kwa wanaume
Wanaume ambao wapo hatarini kupata tatizo hili ni;
● wanaume wenye umri mkubwa
● wanaume wanaovuta sigara nyingi
● Ulevi uliopindukia
● wanaume wanene sana
● Wale ambao wanaofanya kazi kwenye viwanda vya uzalishaji sumu kali kama vile sumu za panya, sumu za kuuwa wadudu mashambani, na wanaofanya kazi kwenye viwanda vya uzalishaji chuma
Sababu za kiafya zinazoweza kupelekea tatizo hili kwa wanaume
Mifano ya matatizo ya kiafya ambayo yanaweza kupelekea tatizo la uzazi kwa wanaume ni yafuatayo;
● Kuvimba kwa mishipa ya damu maeneo ya PUMBU kitaalam tatizo hili linaitwa Mshipa wa Ngiri (VARICOCELE)
● Pumbu ambazo hazijashuka kwenye ngozi ya pumbu/pumbu ambazo zimezama kwa juu ukigusa mfuko wake huzisikii yani hizi zimeingia kwa ndani
● Tatizo la mwili wako kuzishambulia mbegu zako mwenyewe hii huwatokea watu wachache
● Tatizo la mfumo wa hormone mwilini (hormonal imbalance) hii hupelekea uzwalishaji mchache wa hormone ya kiume iitwayo testosterone
● Ugonjwa unaoitwa retrograde ejaculation, ugonjwa huu huathiri mishipa inayopitisha manii pamoja na mkojo jambo ambalo hupelekea mwanaume kutoa mbegu kavu
Sababu zinazopelekea tatizo hili kwa wanawake
Ugumba kwa wanawake unaweza kusababishwa na hali nyingi tofauti. Zifuatazo ni sababu zinazopelekea ugumba kwa wanawake
● Ugonjwa unaoathiri mfumo wa mzunguko wa hedhi ambao unasababishwa na Matatizo ya hormone (hormonal imbalance)
● Pelvic inflammatory disease (PID) / mkusanyiko wa magonjwa ya zinaa
● Ugonjwa wa endometriosis. Ugonjwa huu si wakusababishwa na wadudu bali ndani Ya mfumo wa uzazi chembe hai zinajitengeza kwa nje Ya mfuko wa uzazi, chembe hizi zinatengeza kitu kinachofanana na mfuko wa uzazi
● Uvimbe ndani Ya kuta za uzazi
● Jeraha lilosababishwa na upasuaji katika maeneo ya kizazi
● matumizi ya madawa ya kulevya
● Matumizi ya dawa za kansa kama vile chemotherapy
● Matumizi ya madawa ya kutuliza maumivu kwa muda mrefu sana kama vile aspirins, ibuprofen na madawa mengine ya maumivu
● Matumizi ya madawa ya kutuliza matatizo ya akili
Uchunguzi wa Ugumba
Uchunguzi wa ugumba unahusisha vipimo mbalimbali ili kubaini sababu za ugumba kwa wanawake na wanaume:
Kwa Wanawake:
Vipimo vya homoni: Vipimo vya damu vinaweza kuonyesha viwango vya homoni kama vile estrogen na progesterone.
Ultrasound: Picha za ultrasound zinaweza kusaidia kubaini matatizo ya kuta za mfuko wa uzazi na mirija ya uzazi.
Hysterosalpingogram (HSG): Kipimo hiki kinahusisha kupiga picha ya mfuko wa uzazi na mirija ya uzazi kwa kutumia mionzi ya X-ray na rangi maalum.
Kwa Wanaume:
Semen analysis: Kipimo cha manii kinaweza kuonyesha idadi, ubora, na harakati za manii.
Vipimo vya homoni: Vipimo vya damu vinaweza kuonyesha viwango vya homoni kama vile testosterone.
Vipimo vingine: Vipimo vya ultrasound au biopsi ya korodani vinaweza kusaidia kubaini matatizo ya miundo.
Matibabu ya Ugumba
Chaguzi za matibabu ya ugumba zinategemea sababu za ugumba na zinaweza kujumuisha:
Kwa Wanawake:
Dawa za kusaidia ovulation: Dawa kama vile clomiphene citrate au gonadotropins zinaweza kusaidia katika ovulation.
Upasuaji: Upasuaji unaweza kuhitajika kurekebisha matatizo ya mirija ya uzazi au kuta za mfuko wa uzazi.
Upandikizaji wa yai: Katika baadhi ya visa, upandikizaji wa yai unaweza kusaidia mwanamke kupata ujauzito.
Matibabu ya msingi: Ikiwa ugumba unahusiana na matatizo ya kiafya kama vile PCOS, basi matibabu ya matatizo hayo inaweza kusaidia.
Kwa Wanaume:
Dawa za kusaidia uzalishaji wa manii: Dawa za kusaidia uzalishaji wa manii zinaweza kusaidia kuboresha ubora na idadi ya manii.
Upasuaji: Upasuaji unaweza kuhitajika kurekebisha matatizo ya miundo kama vile mshipa wa ngiri.
Matibabu ya msingi: Ikiwa ugumba unahusiana na matatizo ya kiafya kama vile mshipa wa ngiri (varicocele), matibabu ya msingi yanaweza kusaidia.
TIBA MBADALA AU TIBA ASILI YA TATIZO HILI
Na wewe ambae unapenda kutumia njia ya asili ya kutatua tatizo hili basi nipo hapa kukuaaidia kumalizana na hii shida moja kwa moja.
Dawa zote za kutatua matatizo yote ya uzazi ninazo lakini leo nakuletea dawa kubwa kuliko zote na ina matokeo ya haraka kuliko dawa nyingine yoyote.
Dawa hii imetokea Malaysia na imetengenezwa kwa kuchukua viambata vyote muhimu vya masuala mazima ya uzazi na mpaka sasa zaidi ya watu 800 wamepata matokeo mazuri.
Gharama za matatizo yote ya uzazi huanzia 200,000 na mwisho ni shillings 300,000 tu. Uhakika wa kupona ni Asilimia 100 kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu
Wasiliana nami kupitia nambari 0747 531 853 ili niweze kukupatia maelezo zaidi ya bidha hii. Ofisi zetu zipo Kariakoo lakini pia mikoani tunatuma
Wasifu wa Muandishi wa Makala hii
Niite Doctor Abdul, daktari mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka mitano kwenye sekta hii ya Afya, pia nimehudumia maelfu ya wagonjwa na nimekuwa sababu ya maelfu ya watu kupona matatizo yao.
Kwa sasa nimejikita kwenye Tiba Lishe au Tiba Mbadala kwa sababu nimeona wagonjwa wengi wakipona kupitia Tiba hizi na hata Wagonjwa Wangu walio tumia Tiba hizi wamerudisha Mrejesho unao ridhisha Sana.
Makala hii imeandikwa na Doctor Abdul anaepatikana kupitia nambari 0747 531 853
Fangasi sehem za siri ni ugonjwa unaotokana na wadudu wanaolinda eneo hili wanaoitwa candida. Candida huishi ndani Ya mwili katika sehemu kama (mdomo, koromeo, ndani Ya tumbo na sehem za siri) na juu ya ngozi bila kuleta shida Yoyote. Baadhi ya muda candida hujizalisha kwa wingi mwilini hivyo husababisha tatizo katika sehemu waliyojaa hususani sehemu za siri hii hutokea pale ambapo sehemu ya siri ikibadilika na kuwapa fursa hawa fangasi kujizalisha kwa wingi kuliko kawaida.
DALILI ZA FANGASI UKENI
Muwasho sehem za siri
Maumivu wakat wa tendo la ndoa
Maumivu wakati wa kujisaidia haja ndogo
Kutokwa na majimaji yasiyo ya kawaida sehemu za siri
Harufu mbaya sehem za siri
Japo kuwa tatizo hili huwa si kubwa sana kwa wagonjwa wengi ila kuna baadhi ya wagonjwa huweza kupata changamoto hii kwa ukali zaidi kama sehem za siri kuwa nyekundu, kuvimba, na misitari katika kuta au mashavu ya sehem za siri.
SABABUZA FANGASI UKENI
Maambukizi ya fangasi ukeni yanaweza kutokea kutokana na sababu mbalimbali, ambazo zinaweza kusababisha mazingira ya ukuaji wa fangasi. Sababu hizo ni pamoja na:
Matumizi ya antibiotiki: Dawa hizi zinaweza kuharibu bakteria wa kawaida ukeni ambao huzuia ukuaji wa fangasi, na kusababisha fangasi kupata nafasi ya kukua.
Mabadiliko ya homoni: Wakati wa mzunguko wa hedhi, ujauzito, au matumizi ya dawa za homoni (kama vile dawa za uzazi), mabadiliko ya homoni yanaweza kuongeza hatari ya maambukizi ya fangasi.
Kisukari: Viwango vya juu vya sukari mwilini vinaweza kutoa mazingira mazuri kwa ukuaji wa fangasi.
Baadhi ya magonjwa ya kinga ya mwili: Magonjwa kama vile VVU yanaweza kudhoofisha kinga ya mwili na kuongeza hatari ya maambukizi ya fangasi.
Matumizi ya steroid: Dawa za steroid zinaweza kupunguza kinga ya mwili na kuongeza hatari ya maambukizi ya fangasi.
Usafi mbaya wa maeneo ya siri: Usafi duni wa maeneo ya siri unaweza kusababisha ukuaji wa fangasi.
Mavazi yenye unyevu: Mavazi yasiyoruhusu hewa kupita vizuri au yaliyo na unyevu yanaweza kuongeza hatari ya maambukizi ya fangasi.
Kuwasha au kusugua maeneo ya siri: Matendo haya yanaweza kusababisha usumbufu na kutoa nafasi kwa fangasi kuota.
Unene kupita kiasi: Unene kupita kiasi unaweza kusababisha hali ya unyevu katika sehemu za siri, ambayo inaweza kuchangia ukuaji wa fangasi.
WATU GANI WAPO HATARINI ZAIDI KUPATA TATIZO HILI
Matumizi ya dawa za kuua vijidudu: Dawa hizi zinaweza kubadilisha usawa wa bakteria ukeni, na kusababisha ukuaji wa fangasi.
Matumizi ya dawa za uzazi: Baadhi ya wanawake wanaweza kupata maambukizi ya fangasi kutokana na matumizi ya vidonge vya uzazi au vipandikizi.
Mimba: Mabadiliko ya homoni wakati wa ujauzito yanaweza kuongeza hatari ya maambukizi ya fangasi.
Ugonjwa wa kisukari: Wanawake wenye kisukari wanaweza kuwa na hatari kubwa ya maambukizi ya fangasi kutokana na viwango vya sukari kuwa juu.
Matumizi ya dawa za steroid: Dawa hizi zinaweza kuathiri kinga ya mwili na kuongeza uwezekano wa maambukizi ya fangasi.
Mabadiliko ya homoni: Mabadiliko katika viwango vya homoni vinaweza kusababisha maambukizi ya fangasi.
Kuwasha au kusugua sana ukeni: Hii inaweza kusababisha usumbufu na kufanya fangasi kuota.
Usafi mbaya wa maeneo ya siri: Usafi duni wa maeneo ya siri unaweza kuongeza hatari ya maambukizi ya fangasi.
JINSI YA KUZUIA TATIZO HILI
Vaa nguo za ndani ambazo ni nyepesi zinazo ruhusu hewa kupita kwa wepesi pia zinazoweza kuruhusu maji kupita kirahisi. Pia epuka kufanya mapenzi mpaka utakapo jitibu na ukapona kabisa tatizo hili.
TIBA ZINAZOTUMIKA KUTIBU FANGASI UKENI
Matibabu ya maambukizi ya fangasi ukeni yanaweza kutofautiana kulingana na ukali wa maambukizi na historia ya mgonjwa. Hata hivyo, chaguo la matibabu kwa kawaida hujumuisha:
1. Dawa za kupaka: Dawa za antifungal ambazo hupakwa moja kwa moja kwenye eneo lililoathirika, kama vile clotrimazole, miconazole, au terconazole. Dawa hizi zinapatikana kwa aina ya krimu, gel, au dawa za kuingiza ukeni (suppositories).
2. Dawa za kumeza: Dawa za antifungal zinazomezwa, kama vile fluconazole, zinaweza kutumika kwa maambukizi makali au yanayorudia mara kwa mara.
3. Tiba ya kimuuguzi: Matibabu haya yanaweza kujumuisha kubadilisha mitindo ya maisha kama vile kuvaa nguo zinazoruhusu hewa kupita, kuepuka kuosha ukeni kwa kutumia sabuni yenye harufu, na kudumisha usafi wa maeneo ya siri.
4. Ufuatiliaji wa hali: Ikiwa maambukizi yanaendelea au kurudia, daktari anaweza kupendekeza matibabu zaidi, kama vile kutumia dawa za kuua fangasi kwa muda mrefu zaidi au mara kwa mara.
5. Matibabu ya wenza: Katika baadhi ya visa, daktari anaweza kupendekeza matibabu kwa mwenza wa mgonjwa ikiwa maambukizi yamejitokeza mara kwa mara.
TIBA MBADALA AU TIBA LISHE KWA TATIZO HILI LA FUNGUSUKENI
Tiba hii ni kwa wale ambao wametumia njia nyingi na tofautitofauti kutibu fungus ila zote zimekataa yaani baada ya muda fungus zinarudi tena.
Kuna dawa maalum ya kuweza kuingozea ngozi yako uwezo wa kujikinga kutokana na maradhi yanayoshambulia ngozi yako.
Kwa mahitaji ya tiba hii wasiliana nasi kupitia nambari 0747 531 853 au nitumie ujumbe wako WhatsApp kwenye nambari hiyohiyo
Tarehe 10 ya mwezi huu Justin Beiber aliwashangaza mashabiki wake wengi baada ya kupost video kwenye mtandao wa Instagram akithibitisha kuwa amepatwa na tatizo la kuparalaiz upande mmoja wa uso wake.
Justin amesema alipimwa akakutwa na ugonjwa unaoitwa RAMSAY HUNT SYNDROME ugonjwa ambao ni nadra sana kuwapata watu. Ugonjwa huu hutokea pale ambapo vipele aina ya shingles vinapo shambulia mfumo wa neva wa usoni. ( Shingles inapovamia uso).
Ugonjwa huu una sababishwa na virusi wanaotoka familia moja na wanaosababisha maradhi kama matetekuwanga na ugonjwa maarufu wa ngozi unaojulikana kama mkanda wa jeshi.
Kwenye video aliyoipost Instagram msanii huyu anaonekana hawezi kutumia upande mmoja wa uso wake kabisa hata kucheka anacheka upande mmoja.
Haijulikani ni lini alikutwa na ugonjwa wa RAMSAY HUNT SYNDROME. Ila taarifa zilitoka mda mchache baada ya msanii huyu kuahirisha matamasha yake ya mwaka huu 2022 Justice world tour kwa sababu ya maradhi ambayo hayakutajwa
JE NINI MAANA YA RAMSAY HUNT SYNDROME (RHS)
Ugonjwa wa RHS humpata mtu pale ambapo vipele (shingles) vinapo shambulia maeneo ya uso karibu na moja ya sikio lako. Ugonjwa huu husababisha maumivu makali pamoja na uso kuparalaiz na kushindwa kusikia upande ambao pigo hili limetokea.
Ugonjwa huu ambao kwa mara Ya kwanza uligundulika mwaka 1907 na daktari Ramsay Hunt, Huwapata watu wenye virusi vya maradhi ya ngozi kama vile mkanda wa jeshi, virusi wanao sababisha shingles na matetekuwanga hivyo watu ambao wana maradhi haya wapo kwenye hatari kubwa ya kupata ugonjwa huu.
Hata hivyo taarifa nzuri ni kwamba ugonjwa huu ni nadra sana kwenye kila watu 100,000 basi watu wa 5 tu ndio waneweza kuwa nao.
RHS husababisha kipele chenye maumivu kwa nje Ya sikio na kwa ndani kidogo ya sikio na maumivu makali sana ya sikio kwa ujumla na watu wengi hupata tatizo la kuparalaiz uso.
Kama tatizo hili halitotibiwa ndani Ya siku 3 inaweza kupelekea mtu kupata uziwi wa moja kwa moja pia matatizo ya kuparalaiz uso moja kwa moja.
Ugonjwa huu hutibiwa kwa mgonjwa kupewa dawa zinazo pambana na virusi ( anti virus) kama vile acyclovir na famciclovir pia mgonjwa hupewa dawa za kuondoa uvimbe (anti inflammatory).
Naamini wote tuna ufahamu mkaa maana familia zetu nyingi zinatumia mkaa kwa ajili ya kupikia. Sasa ukiachana na matumizi haya ya kupikia je unafahamu matumizi mengine Yoyote ya mkaa.?? Je unafahamu kuwa mkaa unaweza kunyonya sumu.?? Je unafahamu kuwa mkaa unasaidia kuondoa harufu mbaya mwilini.?? Twende sambamba kwenye nakala hii uweze kutambua umuhim wa mkaa.
Mkaa unaaminika kuwa na faida nyingi sans mwilini ikiwemo kupunguza gesi, kushusha cholesterol, kulisaidia Figo kufanya kazi. Pia kuna watu huutumia kung’arisha meno na kwa wanywaji pombe husaidia kuondoa hangover.
FAIDA ZA MKAA KIAFYA
1 Hutumika kama tiba ya awali kwa aliekunywa sumu
Mkaa ulianza kutumika kama tiba ya sumu tangu mwanzoni mwa miaka ya 1800. Kwa sababu mkaa unauwezo wa kuzivuta na kunyonya dawa nyingi sana.
Mkaa unaweza kutumika kwa mtu alie zidisha dawa kama aspirins, acetaminophen, na dawa zote za usingiz. Mkaa huwa na nguvu zaidi pale mtu atakapopewa ndani Ya lisaa la kwanza tangu alipo kunywa sumu.
2. Mkaa hulisaidia Figo kufanya kazi
Kwa wale wenye matatizo ya Figo mkaa una msaada mkubwa sana kwao maana hufyonza sumu zote mwilini kazi ambayo hufanywa na Figo. Ila kwa wale wasio kuwa na tatizo la Figo, hawahitaji hii sana maana Figo linajitosheleza kufyonza uchafu wa aina Yoyote mwilini.
3. Mkaa husaidia kuondoa harufu mbaya mwilini
Binadam wote huwa tuna kitu mwilini mwetu kinachoitwa Trimethylamine (TMU) ambayo hichi kitu hunuka kama samaki walioanza kuharibika.
Hii (TMU) hubadilishwa na miili yetu na kugeuzwa kuwa kitu kisichokuwa na harufu na hupelekwa kwenye kibofu cha mkojo na hatimae hutolewa kama uchafu mwilini.
Kuna watu wachache wana ugonjwa unaoitwa Trimethylaminuria (TMAU) ambao ugonjwa huu mtu anakuwa hana uwezo wa kuiondoa harufu mbaya mwilini mwake hata aoge mara kumi kwa siku, au atumie sabuni ya aina gani hali hii haimuondoki ni kwa sababu ya tatizo hili
Sasa Tafiti zinaonyesha kuwa mtu akinywa mkaa kwa kiwango kidogo kabisa kila siku kwa mdaa wa siku kumi tu basi hali hii inaweza kumuondoka mwilini mwake
4. Husaidia kung’arisha meno
Mkaa uliolewekwa ndani Ya maji na maji haya yakiwa yanatumika kila asubuh na jioni kusukutuwa mdomo baada ya kupiga mswaki basi husaidia kung’arisha meno na kuondoa harufu mbaya mdomoni.
5. Hutumika kuondoa chunusi na Matatizo mengine ya ngozi
Kupaka vumbi la mkaa au maji Yaliyo lowekwa mkaa husaidia kuondoa vipele, chunusi na mabaka kwenye ngozi. Pia hutumika kwa alie ng’atwa na mdudu mwenye sumu kama vile nyoka unaweka mkaa juu ya sehem iliyo na jeraha
JINSI YA KUTENGENEZA MKAA KWA MATUMIZI YAKO
Kuna namna tofauti ya utengengenezaji mkaa ila njia rahisi zaidi na nyepesi zaidi ni hizi hapa;
•Chukua pande la mkaa ule ulio mlaini sana kisha uponde mpaka uwe Unga kisha uwe unakula huu kiasi kidogo sana kama robo kijiko cha chai asubuh na jioni.
•Loweka mkaa kwenye glass ama chombo chochote kwa mdaa wa masaa mawili kisha maji haya uyatumie kwa jinsi unavyotaka kama kupaa mwilini au kunywa au kusukutulia mdomo.
Chunusi ni moja ya changamoto kubwa sana duniani, inakadiriwa kuwa huathiri asilimia 85 ya vijana wadogo.
Chanzo kamili cha chunusi bado hakijulikani isipokuwa chunusi zinahusishwa sana na;
●Stress
●Mabadiliko ya hormone mwilini
●Genetics (kurithi)
●Aina flani ya vyakula
Tiba nyingi maarufu za hospital za chunusi kama vile salicylic acids, niacinamide, au benzoyl peroxide huwa zinasaidia sana isipokuwa gharama zake ni kubwa na pia huleta madhara mengine kama ngozi kuwa kavu sana, kutengeneza wekundu katika ngozi na pia ngozi kuwasha kwa baadhi ya watu.
Hii imepelekea kuwafanya watu wengi kujaribu kujitibu chunusi kwa njia asilia.
NJIA SAHIHI ZA ASILI ZA KUONDOA CHUNUSI
1 Apple cider vinegar (siki ya apple)
Hii vinegar tafiti zinaonyesha kuwa ina uwezo mkubwa wa kupambana na bacteria wa aina nyingi pamoja na fangasi wa aina tofaut
JINSI YA KUTUMIA 1. Chukua kijiko kimoja kikubwa cha vinegar changanya na glass moja ya maji 2. Baada ya kuosha uso wako kwa maji safi na Sabuni tumia mchanganyiko huu wa vinegar na maji kujipaka usoni. 3. Iache ibaki usoni kwa muda wa dakika moja kisha suudha uso wako. 4. Paka mara mbili kwa siku asubuh na jioni
Vinegar ina asili ya ukali hivyo tumia vinegar kidogo changanya na maji mengi ili isikubabue uso ama sehem nyingine unapo taka kuipaka
2. Tengeneza mask ya kitunguu swaum na asali
Tafiti zilizofanyika 2017 zilionyesha kuwa mchanganyiko wa asali na swaum vilisaidia sana kuondoa chunusi pia mchanganyiko huu ulionyesha uimara wake zidi ya bacteria na pia huondoa sumu mwilini. Kwa kifupi mchanganyiko huu una faida nyingi sana
JINSI YA KUTUMIA 1. Chukua asali vijiko viwili vikubwa changanya na swaum iliyopondwa nusu kijiko kidogo. 2. Baada ya kuwa umeuosha uso wako vizuri paka mchanganyiko huu kisha uache kwa dakika 15. 3. Baada ya dakika 15 safisha uso wako kwa maji baridi na ufute kabisa uache uso ubaki mkavu kabisa.
3. TUMIA ALOE VERA (SHUBIRI)
Aloe Vera inajulikana kwa kuwa tiba kwa maradhi mengi pia faida zake nyingi zinajulikana duniani kote. Aloe Vera kulingana na tafiti hutumika kutibu matatizo ya ngozi kama vile muwasho, ngozi iliyoungua ama kubabuka, pia hutumika kutibu vidonda
JINSI YA KUTUMIA 1. Kamua majimaji ya aloe Vera kwa kutumia njia Yoyote utakayoweza 2. Tumia maji hayo bila kuchanganya na kitu kingine kujioshea usoni. 3. Jikoshee maji haya asubuh na jioni mpaka utakapo pata matokeo
Njia asilia zipo nyingi sana ila hizi nilizokuletea ndio rahisi zaidi na ndio zilizofanunyiwa tafiti nyingi zaidi duniani
Usisite kuweka comment yako na kushare post hii ili uwanufaishe na wengine wenye tatizo hili
Pia kwa wewe ambae umejaribu nyingi na bado hujapata matokeo nitafute kupitia nambari 0747 531 853 ili niweze kukupatia suluhisho la kudum kwa gharama nafuu kabisa
Makala hii imeandikwa na Doctor Abdul anaepatikana kupitia nambari 0747 531 853
Kawaida jasho ni kitu kisochoepukika hasa katika maeneo ya sehem za siri husasani kwa wale wanaojishi miji yenye joto kali na wale wanaofanya kazi za kila siku.
Sehemu za siri zina matundu ya jasho mengi sana hasa maeneo ya PUMBU na mara zote eneo hili huwa lina joto na huwa limefunikwa na nguo. Hivyo kupelekea uzwalishaji wa jasho jingi ambalo huweza kuzalisha changamoto nyingine kama vile fangasi, ama bacteria kuvamia eneo hili na kuleta shida ya ngozi au muwasho wa mara kwa mara.
Changamoto hii ya harufu mbaya kwenye sehem za siri kwa wanaume inaongezeka siku hadi siku. Leo nataka nikupe mbinu za kukusaidia kuondokana na adha hiyo. Lakini hakikisha umejitibu fangasi na kama una ugonjwa mwingine wa ngozi.
TIBA YA CHANGAMOTO HII NI
1. Usafi
Usafi wa eneo hilo: Safisha eneo la pumbu kwa kutumia maji na sabuni yenye harufu kidogo au sabuni isiyo na harufu. Hakikisha unakauka vizuri baada ya kuosha.
2. Nguo zilizotengenezwa na pambanazenye nafasi
Matumizi ya nguo zinazopumua: Vaa nguo za pamba au za kitambaa chenye upumuaji mzuri ili kuzuia unyevunyevu kupita kiasi katika eneo hilo.
3. Badilisha Nguo
Badilisha nguo za ndani mara kwa mara: Hii inasaidia kuzuia kuzaliana kwa bakteria na harufu mbaya.
4. Epuka joto
Epuka joto kupita kiasi: Jaribu kupunguza joto kwenye eneo hilo kwa kuepuka kuvaa nguo nyingi au nguo zenye joto sana.
5. Tumia poda
Tumia poda ya kuzuia unyevunyevu: Poda hii inaweza kusaidia kudhibiti unyevunyevu na harufu mbaya.
6. Chakula na lishe bora
Kula chakula bora: Lishe yenye afya inaweza kusaidia kudhibiti harufu ya mwili.
7. Ushauri wa daktari
Tafuta ushauri wa daktari: Ikiwa miwasho au harufu mbaya inaendelea, huenda ikawa ni ishara ya tatizo la kiafya linalohitaji matibabu.
Na kwa wale ambao tayari mmesha athirika na miwasho kwa muda mrefu katika eneo hilo, basi dawa za kukuwezesha kupona na kuishi kwa furaha zipo. Nitafute kupitia nambari 0747 531 853.
Makala hii imeandikwa Na Doctor Abdul Anaepatikana Kupitia Nambari 0747 531 853
Matatizo ya nguvu za kiume ni moja ya changamoto kubwa kwa wanaume wengi hivi sasa duniani kote bila kujali umri wa mtu vijana wadogo, wakati, na watu wazima wote wanaweza kupata changamoto hii. Kwa sababu changamoto hii husababishwa na Matatizo mengi ya kiafya kama vile uvutaji wa sigara, ulevi uliopindukia, madalali ya kulevya na baadhi ya madawa yanayotibu maradhi sugu pamoja na aina flani ya maradhi yanayoathiri mfumo wa uzazi wa mwanaume
Japo tiba ya maradhi haya hutibiwa kwa vidonge, sindano, vifaa tiba na upasuaji. Kuna namna Ya kujitibu tatizo hili likiwa bado dogo bila ya kutumia dawa Ya aina Yoyote tena unaweza ukajitibu mwenyewe ukiwa nyumbani kwako
Kwa mujibu wa kituo kikubwa cha utafiti duniani cha Mayo clinic wanasema wanaume wenye tatizo la nguvu za kiume huenda wakapata moja ya dalili hizi ama zote kwa pamoja
●Kupungua kwa hamu ya kufanya mapenzi ●Kupata tabu sana kusimamisha uume ●Kushindwa kuhimili kusimamisha uume kwa muda mref (ndani Ya sekunde chache uume una lala)
NAMNA YA KUJITIBU TATIZO HILI
1 Mazoezi ni Tiba ya kwanza ya tatizo hili
Mazoezi husaidia mzunguko mzuri wa damu mwilini ambao ni muhimu kwa kukuhakikishia uimara wa usimamaji wa uume wako. Pia huimarisha presha ya mzunguko wa damu kwa kuongeza nitric oxide katika mirija ya damu, kitu ambacho dawa aina ya viagra hufanya katika mwili wako, kwa hiyo ni bora ufanye mazoezi kuliko kutumia viagra
2 Matunda na mboga za majani
Moja ya njia rahisi na inayopendelewa na wengi ni hii ya kula vyakula vyenye vitamins nyingi ambavyo hupatikan ndani Ya matunda na mbogamboga. Pendelea kula samaki zaidi kuliko nyama nyekundu, punguza ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi kama vile chips na aina nyingine ya mikaango
3 Usingizi au kulala ni dawa kubwa sana wa tatizo hili
Usingiz huchangia kwa kiasi kikubwa uzwalishaji wa hormone za mapenzi kama vile testosterone pia huongeza hamu ya tendo la ndoa. Mtu mwenye matatizo ya kutopata usingiz mzuri baada ya mda flani anaweza akapata matatizo ya nguvu za kiume kwa hiyo ushauri wa bure jitahid kulala japo masaa 6 wakati wa usiku
4 Acha uvutaji wa sigara
Uvutaji wa sigara husababisha mishipa ya damu kusinyaa hivyo kupelekea damu kupita kwa tabu jambo ambalo ni hatari kwa afya yako kwa ujumla na vilevile ni hatari kwa afya ya uzazi
5 Acha au punguza unywaji wa pombe
Mfumo wa neva (Central nervous system) ndio unaowajibika kuzalisha nitric oxide ambayo ni kemikali muhimu sana kwenye kuzalisha usimamishaji wa uume na kuhakikisha unaendelea kusimama, unywaji wa pombe uliopitiliza hukandamiza mfumo wa neva kitu ambacho kitasababisha mfumo huo kufanya kazi chini ya kiwango hivyo kupelekea uzwalishaji hafifu wa nitric oxide
6 Fuatilia kwa ukaribu dawa zako: yawezekana dawa unazotumia kutibu aina flani ya magonjwa zikawa ndo chanzo cha tatizo lako
Matatizo ya nguvu za kiume hueza kutokea kutokana na madhara (side effects) ya dawa zinazotumika kutibu magonjwa mengine mwilini. Dawa ambazo mara nyingi huwa chanzo cha matatizo ya nguvu za kiume ni dawa za kushusha presha, dawa za kutuliza msongo wa mawazo, dawa zinazotibu maradhi ya moyo, dawa za cholesterol, dawa za kutuliza matatizo ya akili, dawa za kuponya kansa hasa zile za chemotherapy. Kama unanimity dawa unazotumia ndio chanzo cha tatizo usijiachishe mwenyewe basi ongea na daktari wako akubadilishie dawa hizo akupe mbadala wake
7 Makomamanga au juisi yake
Tafiti zinaonyesha kuwa makomamanga huzalisha nitric oxide ya kutosha hivyo husaidia kuimarisha mfumo wa kinga mwilini na vilevile mfumo wako wa uzazi
8 Tumia maji ya baridi sana kuogea
Maji ya baridi yanafaida nyingi sana kiafya hapa tutaongelea kwa uchache jinsi gani ya kuyatumia, kwa wale wanaotokea mikoa yenye joto kali kama mikoa ya pwani basi asubuh mapema weka barafu katika maji yako ya kuogea japo mabara matatu kisha ukaoge maji hayo ila uhakikishe hauna maradhi Yoyote ya moyo. Na kwale wanaotokea mikoa yenye baridi kali kama vile mikoa ya Iringa, Njombe, Mbeya, na mikoa mingineyo unashauriwa kutoyachemsha maji yako ya kuogea. Jaribu hii Leo na nakuhakikishia baada ya wiki moja tu utaona mabadiliko mengi sana mwilini mwako.
Ebhana Niite Doctor Abdul
Daktari Mwenye Uzoefu wa zaidi ya miaka mitano.
Na kama unasumbuliwa Na Tatizo lolote la Afya ya uzazi kuanzia shahawa chache, uume kusimama kwa kulegea, kushindwa kurudia round mbili na kuendelea, kuwahi sana kumwaga, kushindwa kabisa kusimamisha na kushindwa kumpa ujauzito mwenzio. Basi Tiba Ninayo na Uhakika wa Kutatua Tatizo Lako ni Mkubwa Sana kwa zaidi ya Asilimia 90.