FAHAMU KUHUSU UGUMBA/UTASA AU MWANAMKE KUSHINDWA KUSHIKA MIMBA

Makala hii imeandikwa na Doctor Abdul anaepatikana kupitia nambari 0747 531 853

Ugonjwa wa utasa ni hali inayotokea pale mwanamke anaposhindwa kupata ujauzito baada ya mwaka mmoja wa kujaribu kupata mimba bila mafanikio. Ugumba si suala linalowakumba wanawake pekee, kwani wanaume pia wanaweza kuathiriwa. Hata hivyo, makala hii itazingatia zaidi juu ya ugumba kwa wanawake.

Utasa ni nini?

Ugumba ni hali inayosababisha mwanamke kushindwa kupata ujauzito kwa muda wa mwaka mmoja au zaidi wakati wa kushiriki tendo la ndoa bila kutumia kinga yoyote. Hali hii inaweza kusababishwa na sababu mbalimbali za kiafya, za kijamii, au za kimazingira.

Aina za Utasa

1. Utasa wa Msingi: Hii ni hali ambapo mwanamke hajawahi kabisa kupata ujauzito hata wa bahati mbaya na afanya tendo bila ya kinga kila siku kwa zaidi ya mwaka mmoja.

2. Utasa wa Sekondari: Hali hii hutokea kwa mwanamke ambaye tayari amewahi kupata ujauzito hapo awali, lakini sasa anapata shida kupata mimba nyingine.

Dalili za Utasa

Dalili kuu ya ugumba ni kushindwa kupata ujauzito kwa muda wa mwaka mmoja au zaidi. Hata hivyo, dalili zingine zinaweza kuashiria ugumba, ikiwa ni pamoja na:

  • Mzunguko wa hedhi usio wa kawaida.
  • Maumivu ya tumbo na mgongo wakati wa mzunguko wa hedhi.
  • Matatizo ya homoni yanayosababisha matatizo kama nywele za ziada usoni (ndevu au masharubu) na mwilini, chunusi, au kunenepa sana kuliko kawaida.  Dalili za matatizo ya Hormone kwa wanawake ni nyingi sana tutaziangalia kwenye makala zijazo.

Sababu za Utasa

Sababu za utasa kwa wanawake zinaweza kuwa nyingi na tofauti. Baadhi ya sababu hizi ni:

  • Matatizo ya Ovulation: Matatizo katika uzalishaji wa mayai ya kike yanaweza kusababisha ugumba.
  • Uharibifu wa Mirija ya Uzazi: Mirija ya uzazi iliyoharibika au kuzibwa inaweza kuzuia yai kufikia kiinitete, na hivyo kuzuia ujauzito.
  • Matatizo ya Kizazi: Matatizo kama fibroid, polyps, au makovu kwenye kizazi yanaweza kuzuia ujauzito.
  • Matatizo ya Homoni: Matatizo ya homoni yanaweza kuathiri uzazi.
  • Matatizo ya Kiakili au Kimwili: Mfano wa matatizo ya hisia au mafadhaiko.
  • Matatizo kwenye mfumo wa damu: kuna baadhi ya wanawake kila anaposhika ujauzito unatoka kwa sababu mfumo wake wa damu una shinikiza mimba hiyo kutoka kwa kuwa inaonekana kama kitu kigeni ndani ya mwili.

Watu Walio Hatarini Kupata Ugumba

  • Wanawake wenye umri wa miaka 35 na zaidi.
  • Wanye historia ya magonjwa ya uzazi au upasuaji.
  • Wanawake wenye mzunguko wa hedhi usio wa kawaida.
  • Wanaovuta sigara au kunywa pombe kwa kiasi kikubwa.
  • Wanawake wenye uzito wa kupita kiasi au wenye uzito wa chini sana.
  • Wanawake walio toa sana mimba.

Tiba za Ugumba

1. Matibabu ya Homoni: Matibabu haya yanaweza kusaidia kurekebisha matatizo ya homoni na kuongeza uzalishaji wa mayai.

2. Upasuaji: Upasuaji unaweza kusaidia kutatua matatizo ya uzazi kama fibroid au polyps kwenye kizazi.

3. Insemination ya Kiinitete: Inahusisha kuchanganya mbegu za kiume na yai nje ya mwili na kisha kuingiza kiinitete kwenye kizazi.

4. Tiba ya Sanaa ya Uzazi: Inahusisha mbinu kama vile IVF (In vitro fertilization) kwa kuchanganya yai na mbegu za kiume nje ya mwili na kisha kupandikiza kiinitete kwenye kizazi.

Tiba lishe au Tiba asili

Baada ya kuona kwa uchache juu ya tatizo hili la ugumba sasa nikupe ndondoo kidogo kuhusu tiba lishe yenye uwezo mkubwa wa kutatua changamoto hii bila upasuaji wala njia nyingine kama tulizo weka hapo juu.

Dawa hii itakusaidia kuweka mzunguko wako wa hedhi sawa, pia kubalance hormone zako zote, kisha italirutubisha yai lako na pia kusafisha njia ili shahawa ziende moja kwa moja kwenye yai na kwakua yai limesafishwa na kurutubishwa basi kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu utapata matokeo kama walio pata wengine.

Dawa hizi zipo mbili na zinatumika kwa pamoja na jumla bei yake ni shillings 300,000 ya kitanzania. Dawa hizi pia zinauwezo mkubwa sana wa kuweka mwili wako wote vizuri. Kwa kuwa zitaenda kushambulia wadudu wabaya wote walio ndani ya mwili wako na kuondoa kila aina ya uvimbe katika mwili wako.Mpa

Mpaka sasa nina idadi ya wanawake zaidi ya 150 walio pata matokeo kutokana na dawa hizi.

Unasubiri nini wakati ndio huu nipigie kupitia nambari 0747 531 853 niweze kukusaidia.

Leave a Comment