FAHAMU KWA UCHACHE KUHUSU KISUKARI

Makala hii imeandikwa na Doctor Abdul anaepatikana kwa nambari 0747 531 853

Kisukari ni ugonjwa unaosababishwa na kiwango kikubwa cha sukari (glukosi) katika damu. Hii hutokea kwa sababu mwili hauwezi kuzalisha au kutumia insulini ipasavyo, homoni inayosaidia seli kupokea glukosi na kuitumia kama nishati.

Dalili za kisukari zinaweza kujumuisha

  • Kiu kikali
  • Kukojoa mara kwa mara
  • Kupungua uzito bila sababu
  • Uchovu
  • Matatizo kwenye uoni kuona ukungu
  • Kushindwa kufanya tendo la ndoa

Watu wenye hatari ya kisukari ni pamoja na;

  • Wale walio na uzito kupita kiasi
  • Familia yenye historia ya kisukari
  • Watu wasio fanya mazoezi

Matibabu ya kisukari

Matibabu ya kisukari yanaweza kujumuisha mabadiliko ya mtindo wa maisha kama vile lishe bora, mazoezi, na kupunguza uzito. Dawa za kudhibiti sukari katika damu kama vile vidonge vya kisukari au insulini pia zinaweza kuhitajika. Ni muhimu kufuata mpango wa matibabu uliopendekezwa na daktari na kufanya uchunguzi wa mara kwa mara ili kudhibiti kisukari na kuepuka madhara yake.

Kwa wale wanaopenda kutumia tiba lishe ama tiba mbadala kwa maradhi yote yasio ambukiza naomba unitafute niweze kukusaidia kupitia nambari 0747 531 853

Ofisi zetu zipo kariakoo. Karibu sana

Leave a Comment