Hata kama una UKIMWI usikate tamaa maana leo nakuletea dawa moja itakayo ondoa matatizo yako yote

Dawa hii imetumika zaidi ya miaka 5000 na kwenye vitabu vya dini mbili kubwa duniani(ukeisto na uisilamu) dawa hii imeandikwa. Dawa hii ni BLACK SEED

Sasa kwenye uzi huu utajifunza ufanyaji kazi wa dawa hii kisanyasi ya mwili

Ni nini BLACK SEEDS

Black seed ni mmea ambao asili yake ni nchi za Asia na Pia kaskazini mwa nchi za Africa kama vile Misri, Morocco, Algeria na baadhi ya nchi za ulaya kwa uchache sana na hata huku kwetu mmea huu upo kwa uchache mno

Sasa mbegu za mmea huu husagwa na kutengeneza unga mweusi ambao unga huu ndo hutumika kama dawa na pia mbegu zake hutoa mafuta ambayo pia ni dawa kwa maradhi mengi sana.

Mmea wa BLACK SEED una virutubisho na viambata vingi sana ila ndani ya viambata hivyo kuna kitu kinaitwa thymoquinone, ambacho kiambata hichi husaidia kufyonza sumu zote mwilini,  pia kuimarisha kinga ya mwili na pia kuzilinda seli zako zisiharibike haraka na pia kukulinda kutokana na maradhi sugu.

Viambata vipatikanavyo ndani ya Black seeds
Black seeds ni chanzo cha virutubisho kama vile;
• Calcium
• Madini chuma
• Madini ya zinc
• Madini ya copper
• Madini ya thiamine
• Madini ya Niacin
• Madini ya phosphorus
• Madini ya Folic acid

Pia ina vitamins zote muhimu mwilini mwako na pia ina mafuta muhimu yaitwayo Omega-3
Na pia ina mchanganyiko wa viambata vidogovidogo zaidi ya 400. Na mpaka sasa wanasanyasi bado wanaendeleza tafiti zao juu ya mmea huu.

Faida za black seed mwilini

1. Kuongeza kinga mwilini, kutokana na viambata vingi muhimu vipatikanyo katika mmea huu, husaidia mwili kuzalisha seli za ulinzi kwa wingi sana hivyo hata kama ulikuwa na maradhi yanayoathiri mfumo wako wa kinga kama vile UKIMWI basi dawa hii itakusaidia kuzidisha seli za ulinzi kwa wingi.


2. Kuweka sawa matatizo ya presha, kwa wale wenye matatizo ya presha ya aina Yoyote ile iwe ya kupanda ama ya kushuka dawa hii imeonyesha uwezo mkubwa sana wa kuweka sawa mfumo huo na binafsi ninazo shuhuda nyingi sana za watu waliopona presha kwa kutumia Black seed tu.


3. Kushusha sukari, watu wenye matatizo ya kisukari wenzetu wazungungu walipofanya tafiti zao wakagundua Black seeds imeshusha sukari kwa wingi kuliko dawa nyingine yoyote


4. Matatizo ya nguvu za kiume,  kwa wanaume ambao wanajikuta wanawahi sana kufika kileleni ama wanaoshindwa kabisa kuwaridhisha wenzi wao basi dawa pekee yenye matokeo makubwa ni hii na itakutibu tatizo lako moja kwa moja


5. Afya ya uzazi kwa wanawake,  kwa wale wanawake wanaopata matatizo ya maumivu makali wakati wa tendo,  ama wale wanaotoa uchafu ama harufu mbaya ukeni, au hushiki mimba na umri unazidi kwenda then chukua Black seeds changanya na asali kisha kunywa kijiko kimoja asubuh na kijiko kimoja jioni kisha baada ya wiki utajishukuru


6. Kupunguza uzito, kwa wale wenye matatizo ya uzito mkubwa na wanashindwa kushusha uzito huo kwa njia za kawaida, sasa mkombozi wako ndo huyu utatumia Black seed na utafanya mazoezi kidogo tu kisha baada ya muda mfupi sana utajishukuru


7. Matatizo ya kifua sugu yasiyo kwisha, kuna watu wanakohoa mwaka mzima ama wana mafua yasiyo kwisha na umehangaika sana bila kupata suluhisho sasa suluhisho lako ndo hili


8. Matatizo ya kansa, kwa wale ambao wapo kwenye hatari ya kupata kansa ya aina flani aidha kwa sababu kwenye ukoo wenu kuna mtu alikuwa nayo au mazingira yako ya kazi yako uifanyayo kuwa ni hatarishi sana nakushauri uanze kutumia Black seeds mapema kabla hujakutwa na tatizo hili


9. Kuimarisha afya ya figo na ini, nadhani wote tunajua umuhimu wa viungo hivi viwili sasa nikwambie kitu. Kutibu maradhi yanayo athiri viungo hivi sio chini ya million 3 na kuendelea sasa kabla hujafikia hatua hii jitahid uwe na black seed ndani kwako tena kwa gharama ndogo sana


10. Matatizo ya mmeng’enyo wa chakula,  kuna watu wana matatizo ya choo kigumu ama matatizo ya bawasiri na wakienda hospital wanabidi wafanyiwe upasuaji ambao utagharimu pesa nyingi sana. Sasa kwanini usiwe na kitu kama hichi ndani kwako kisha uone kama utaendelea kusumbuliwa na matatizo haya


11. Maumivu ya mifupa hasa kwenye magoti na miguu kuwaka moto, kadri binadam anavyozidi kuwa mkubwa na viungo navyo huanza kuchoka kidogokidogo na kupelekea matatizo flani ndani ya mwili, ila kwa madini muhimu yapatikanayo ndani ya Black seed basi matatizo haya yote huisha tena ndani ya muda mfupi sana


12. Maumivu ya kiuno, mwenye Maumivu ya kiuno itabidi utumie mafuta ya Black seed kupaka maeneo yote ya kiuno kila siku asubuh na jioni kwa mda wa siku 7 tu utaona mabadiliko makubwa

Hizi ni faida chache zipatikanazo kutoka kwenye Black seeds maana kuna nyingine nyingi ambazo sijaziandika.

Jambo la kuzingatia ni kuwa dawa hii imetumika karne na karne na itaendelea kutumika kwa vizazi vijavyo ila kwa sasa watu wengi hawaijui na ili uweze kuwa mjanja ni kuiwahi mapema kabla watu wengi hawajaijua na hivyo kupelekea kuwa adimu kupatikana au ukaja kuipata kwa gharama ya juu sana.

Sasa Jipatie leo Black seed iliyo ongezewa viambata Muhimu kama Kahawa na unga wa mbegu za Tende hivyo Kuipa nguvu na kufanya matokeo yawe makubwa na ya haraka zaidi kwa Mtumiaji.

Gharama ya new blackseed with instant coffee ni shillings 120,000 tu.

Wasiliana nasi kupitia nambari 0747 531 853 au nitumie ujumbe wako WhatsApp kwenye nambari hiyohiyo

Leave a Comment