0747 531 853

Ugumba/utasa; Ni hali Ya kushindwa kuzalisha kwa mwanaume na kwa mwanamke ni kushidwa kushika ujauzito baada ya majaribio kwa muda wa mwaka mzima. Kwa mwanamke mwenye umri zaidi ya miaka 35, ina maanisha umeshindwa kupata ujauzito baada ya miezi 6 ya majaribio.
Wanawake ambao wamezaa mara moja tu na hawajaweza kushika mimba tena baada ya majaribio kwa zaidi ya mwaka mmoja hawa pia wanaitwa Tasa
Tatizo hili la uzazi sio la mwanamke peke yake bali hata mwanaume anaweza akawa na tatizo hili kwa kushindwa kuzalisha mbegu zenye uwezo wa kutungisha mimba
SABABU ZINAZOPELEKEA MWANAUME KUPATA TATIZO LA UZAZI
Kwa ujumla matatizo ya uzazi kwa wanaume husababishwa na;
● Uzwalishaji hafifu wa manii/mbegu zisizo na uwezo
● Uchache wa manii
● Umbo baya la manii/ mbegu iliyokuwa na muonekano usio wa kawaida
● Utembeaji wa manii, kuanzia inapotoka kiunoni hadi inapofika kwenye pumbu ili kusubiri matumizi kukiwa na tatizo hapa katikati basi inaweza kupelekea tatizo la uzazi
Watu gani wapo katika hatari zaidi kupata tatizo hili kwa wanaume
Wanaume ambao wapo hatarini kupata tatizo hili ni;
● wanaume wenye umri mkubwa
● wanaume wanaovuta sigara nyingi
● Ulevi uliopindukia
● wanaume wanene sana
● Wale ambao wanaofanya kazi kwenye viwanda vya uzalishaji sumu kali kama vile sumu za panya, sumu za kuuwa wadudu mashambani, na wanaofanya kazi kwenye viwanda vya uzalishaji chuma
Sababu za kiafya zinazoweza kupelekea tatizo hili kwa wanaume
Mifano ya matatizo ya kiafya ambayo yanaweza kupelekea tatizo la uzazi kwa wanaume ni yafuatayo;
● Kuvimba kwa mishipa ya damu maeneo ya PUMBU kitaalam tatizo hili linaitwa Mshipa wa Ngiri (VARICOCELE)
● Pumbu ambazo hazijashuka kwenye ngozi ya pumbu/pumbu ambazo zimezama kwa juu ukigusa mfuko wake huzisikii yani hizi zimeingia kwa ndani
● Tatizo la mwili wako kuzishambulia mbegu zako mwenyewe hii huwatokea watu wachache
● Tatizo la mfumo wa hormone mwilini (hormonal imbalance) hii hupelekea uzwalishaji mchache wa hormone ya kiume iitwayo testosterone
● Ugonjwa unaoitwa retrograde ejaculation, ugonjwa huu huathiri mishipa inayopitisha manii pamoja na mkojo jambo ambalo hupelekea mwanaume kutoa mbegu kavu
Sababu zinazopelekea tatizo hili kwa wanawake
Ugumba kwa wanawake unaweza kusababishwa na hali nyingi tofauti. Zifuatazo ni sababu zinazopelekea ugumba kwa wanawake
● Ugonjwa unaoathiri mfumo wa mzunguko wa hedhi ambao unasababishwa na Matatizo ya hormone (hormonal imbalance)
● Pelvic inflammatory disease (PID) / mkusanyiko wa magonjwa ya zinaa
● Ugonjwa wa endometriosis. Ugonjwa huu si wakusababishwa na wadudu bali ndani Ya mfumo wa uzazi chembe hai zinajitengeza kwa nje Ya mfuko wa uzazi, chembe hizi zinatengeza kitu kinachofanana na mfuko wa uzazi
● Uvimbe ndani Ya kuta za uzazi
● Jeraha lilosababishwa na upasuaji katika maeneo ya kizazi
● matumizi ya madawa ya kulevya
● Matumizi ya dawa za kansa kama vile chemotherapy
● Matumizi ya madawa ya kutuliza maumivu kwa muda mrefu sana kama vile aspirins, ibuprofen na madawa mengine ya maumivu
● Matumizi ya madawa ya kutuliza matatizo ya akili
Uchunguzi wa Ugumba
Uchunguzi wa ugumba unahusisha vipimo mbalimbali ili kubaini sababu za ugumba kwa wanawake na wanaume:
Kwa Wanawake:
- Vipimo vya homoni: Vipimo vya damu vinaweza kuonyesha viwango vya homoni kama vile estrogen na progesterone.
- Ultrasound: Picha za ultrasound zinaweza kusaidia kubaini matatizo ya kuta za mfuko wa uzazi na mirija ya uzazi.
- Hysterosalpingogram (HSG): Kipimo hiki kinahusisha kupiga picha ya mfuko wa uzazi na mirija ya uzazi kwa kutumia mionzi ya X-ray na rangi maalum.
Kwa Wanaume:
- Semen analysis: Kipimo cha manii kinaweza kuonyesha idadi, ubora, na harakati za manii.
- Vipimo vya homoni: Vipimo vya damu vinaweza kuonyesha viwango vya homoni kama vile testosterone.
- Vipimo vingine: Vipimo vya ultrasound au biopsi ya korodani vinaweza kusaidia kubaini matatizo ya miundo.
Matibabu ya Ugumba
Chaguzi za matibabu ya ugumba zinategemea sababu za ugumba na zinaweza kujumuisha:
Kwa Wanawake:
- Dawa za kusaidia ovulation: Dawa kama vile clomiphene citrate au gonadotropins zinaweza kusaidia katika ovulation.
- Upasuaji: Upasuaji unaweza kuhitajika kurekebisha matatizo ya mirija ya uzazi au kuta za mfuko wa uzazi.
- Upandikizaji wa yai: Katika baadhi ya visa, upandikizaji wa yai unaweza kusaidia mwanamke kupata ujauzito.
- Matibabu ya msingi: Ikiwa ugumba unahusiana na matatizo ya kiafya kama vile PCOS, basi matibabu ya matatizo hayo inaweza kusaidia.
Kwa Wanaume:
- Dawa za kusaidia uzalishaji wa manii: Dawa za kusaidia uzalishaji wa manii zinaweza kusaidia kuboresha ubora na idadi ya manii.
- Upasuaji: Upasuaji unaweza kuhitajika kurekebisha matatizo ya miundo kama vile mshipa wa ngiri.
- Matibabu ya msingi: Ikiwa ugumba unahusiana na matatizo ya kiafya kama vile mshipa wa ngiri (varicocele), matibabu ya msingi yanaweza kusaidia.
TIBA MBADALA AU TIBA ASILI YA TATIZO HILI
Na wewe ambae unapenda kutumia njia ya asili ya kutatua tatizo hili basi nipo hapa kukuaaidia kumalizana na hii shida moja kwa moja.
Dawa zote za kutatua matatizo yote ya uzazi ninazo lakini leo nakuletea dawa kubwa kuliko zote na ina matokeo ya haraka kuliko dawa nyingine yoyote.
Dawa hii imetokea Malaysia na imetengenezwa kwa kuchukua viambata vyote muhimu vya masuala mazima ya uzazi na mpaka sasa zaidi ya watu 800 wamepata matokeo mazuri.
Gharama za matatizo yote ya uzazi huanzia 200,000 na mwisho ni shillings 300,000 tu. Uhakika wa kupona ni Asilimia 100 kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu
Wasiliana nami kupitia nambari 0747 531 853 ili niweze kukupatia maelezo zaidi ya bidha hii. Ofisi zetu zipo Kariakoo lakini pia mikoani tunatuma
Wasifu wa Muandishi wa Makala hii
Niite Doctor Abdul, daktari mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka mitano kwenye sekta hii ya Afya, pia nimehudumia maelfu ya wagonjwa na nimekuwa sababu ya maelfu ya watu kupona matatizo yao.
Kwa sasa nimejikita kwenye Tiba Lishe au Tiba Mbadala kwa sababu nimeona wagonjwa wengi wakipona kupitia Tiba hizi na hata Wagonjwa Wangu walio tumia Tiba hizi wamerudisha Mrejesho unao ridhisha Sana.
Unanipata kupitia Nambari 0747 531 853.
Pia unaweza Kunifuatilia Kwenye Kurasa Yangu Ya Facebook kwa Kubonyeza link hii https://www.facebook.com/profile.php?id=100083185003957&mibextid=ZbWKwL
Karibu Sana