JITIBU MARADHI HAYA KWA KUTUMIA MKAA

0747 531 853

Naamini wote tuna ufahamu mkaa maana familia zetu nyingi zinatumia mkaa kwa ajili ya kupikia. Sasa ukiachana na matumizi haya ya kupikia je unafahamu matumizi mengine Yoyote ya mkaa.?? Je unafahamu kuwa mkaa unaweza kunyonya sumu.?? Je unafahamu kuwa mkaa unasaidia kuondoa harufu mbaya mwilini.?? Twende sambamba kwenye nakala hii uweze kutambua umuhim wa mkaa.

Mkaa unaaminika kuwa na faida nyingi sans mwilini ikiwemo kupunguza gesi, kushusha cholesterol, kulisaidia Figo kufanya kazi. Pia kuna watu huutumia kung’arisha meno na kwa wanywaji pombe husaidia kuondoa hangover.

FAIDA ZA MKAA KIAFYA

1 Hutumika kama tiba ya awali kwa aliekunywa sumu

Mkaa ulianza kutumika kama tiba ya sumu tangu mwanzoni mwa miaka ya 1800. Kwa sababu mkaa unauwezo wa kuzivuta na kunyonya dawa nyingi sana.

Mkaa unaweza kutumika kwa mtu alie zidisha dawa kama aspirins, acetaminophen, na dawa zote za usingiz. Mkaa huwa na nguvu zaidi pale mtu atakapopewa ndani Ya lisaa la kwanza tangu alipo kunywa sumu.

2. Mkaa hulisaidia Figo kufanya kazi

Kwa wale wenye matatizo ya Figo mkaa una msaada mkubwa sana kwao maana hufyonza sumu zote mwilini kazi ambayo hufanywa na Figo. Ila kwa wale wasio kuwa na tatizo la Figo, hawahitaji hii sana maana Figo linajitosheleza kufyonza uchafu wa aina Yoyote mwilini.

3. Mkaa husaidia kuondoa harufu mbaya mwilini

Binadam wote huwa tuna kitu mwilini mwetu kinachoitwa Trimethylamine (TMU) ambayo hichi kitu hunuka kama samaki walioanza kuharibika.

Hii (TMU) hubadilishwa na miili yetu na kugeuzwa kuwa kitu kisichokuwa na harufu na hupelekwa kwenye kibofu cha mkojo na hatimae hutolewa kama uchafu mwilini.

Kuna watu wachache wana ugonjwa unaoitwa Trimethylaminuria (TMAU) ambao ugonjwa huu mtu anakuwa hana uwezo wa kuiondoa harufu mbaya mwilini mwake hata aoge mara kumi kwa siku, au atumie sabuni ya aina gani hali hii haimuondoki ni kwa sababu ya tatizo hili

Sasa Tafiti zinaonyesha kuwa mtu akinywa mkaa kwa kiwango kidogo kabisa kila siku kwa mdaa wa siku kumi tu basi hali hii inaweza kumuondoka mwilini mwake

4. Husaidia kung’arisha meno

Mkaa uliolewekwa ndani Ya maji na maji haya yakiwa yanatumika kila asubuh na jioni kusukutuwa mdomo baada ya kupiga mswaki basi husaidia kung’arisha meno na kuondoa harufu mbaya mdomoni.

5. Hutumika kuondoa chunusi na Matatizo mengine ya ngozi

Kupaka vumbi la mkaa au maji Yaliyo lowekwa mkaa husaidia kuondoa vipele, chunusi na mabaka kwenye ngozi. Pia hutumika kwa alie ng’atwa na mdudu mwenye sumu kama vile nyoka unaweka mkaa juu ya sehem iliyo na jeraha

JINSI YA KUTENGENEZA MKAA KWA MATUMIZI YAKO

Kuna namna tofauti ya utengengenezaji mkaa ila njia rahisi zaidi na nyepesi zaidi ni hizi hapa;

•Chukua pande la mkaa ule ulio mlaini sana kisha uponde mpaka uwe Unga kisha uwe unakula huu kiasi kidogo sana kama robo kijiko cha chai asubuh na jioni.

•Loweka mkaa kwenye glass ama chombo chochote kwa mdaa wa masaa mawili kisha maji haya uyatumie kwa jinsi unavyotaka kama kupaa mwilini au kunywa au kusukutulia mdomo.

Ebhana Niite Doctor Abdul

Daktari mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka mitano

Unanipata Kupitia Nambari 0747 531 853

Pia unaweza Kunifuatilia Kwenye Kurasa Yangu Ya Facebook kwa Kubonyeza link hii https://www.facebook.com/profile.php?id=100083185003957&mibextid=ZbWKwL

NB: Tumia kiwango kidogo sana cha mkaa usitumie mkaa mwingi katika mwili wako.

Leave a Comment