Makala hii imeandikwa na Doctor Abdul anaepatikana kupitia nambari 0747 531 853

Kawaida jasho ni kitu kisochoepukika hasa katika maeneo ya sehem za siri husasani kwa wale wanaojishi miji yenye joto kali na wale wanaofanya kazi za kila siku.
Sehemu za siri zina matundu ya jasho mengi sana hasa maeneo ya PUMBU na mara zote eneo hili huwa lina joto na huwa limefunikwa na nguo. Hivyo kupelekea uzwalishaji wa jasho jingi ambalo huweza kuzalisha changamoto nyingine kama vile fangasi, ama bacteria kuvamia eneo hili na kuleta shida ya ngozi au muwasho wa mara kwa mara.
Changamoto hii ya harufu mbaya kwenye sehem za siri kwa wanaume inaongezeka siku hadi siku. Leo nataka nikupe mbinu za kukusaidia kuondokana na adha hiyo. Lakini hakikisha umejitibu fangasi na kama una ugonjwa mwingine wa ngozi.
TIBA YA CHANGAMOTO HII NI
1. Usafi

Usafi wa eneo hilo: Safisha eneo la pumbu kwa kutumia maji na sabuni yenye harufu kidogo au sabuni isiyo na harufu. Hakikisha unakauka vizuri baada ya kuosha.
2. Nguo zilizotengenezwa na pamba na zenye nafasi

Matumizi ya nguo zinazopumua: Vaa nguo za pamba au za kitambaa chenye upumuaji mzuri ili kuzuia unyevunyevu kupita kiasi katika eneo hilo.
3. Badilisha Nguo

Badilisha nguo za ndani mara kwa mara: Hii inasaidia kuzuia kuzaliana kwa bakteria na harufu mbaya.
4. Epuka joto
Epuka joto kupita kiasi: Jaribu kupunguza joto kwenye eneo hilo kwa kuepuka kuvaa nguo nyingi au nguo zenye joto sana.
5. Tumia poda
Tumia poda ya kuzuia unyevunyevu: Poda hii inaweza kusaidia kudhibiti unyevunyevu na harufu mbaya.
6. Chakula na lishe bora
Kula chakula bora: Lishe yenye afya inaweza kusaidia kudhibiti harufu ya mwili.
7. Ushauri wa daktari
Tafuta ushauri wa daktari: Ikiwa miwasho au harufu mbaya inaendelea, huenda ikawa ni ishara ya tatizo la kiafya linalohitaji matibabu.
Na kwa wale ambao tayari mmesha athirika na miwasho kwa muda mrefu katika eneo hilo, basi dawa za kukuwezesha kupona na kuishi kwa furaha zipo. Nitafute kupitia nambari 0747 531 853.
Pia unaweza Kunifuatilia kwenye kurasa yangu ya Facebook kwa kubonyeza hii link https://www.facebook.com/profile.php?id=100083185003957&mibextid=ZbWKwL
Baadhi ya mikao ambayo mwanaume unashauriwa kupendelea kuikaa




Karibu sana