Makala hii imeandikwa Na Doctor Abdul Anaepatikana Kupitia Nambari 0747 531 853


Matatizo ya nguvu za kiume ni moja ya changamoto kubwa kwa wanaume wengi hivi sasa duniani kote bila kujali umri wa mtu vijana wadogo, wakati, na watu wazima wote wanaweza kupata changamoto hii. Kwa sababu changamoto hii husababishwa na Matatizo mengi ya kiafya kama vile uvutaji wa sigara, ulevi uliopindukia, madalali ya kulevya na baadhi ya madawa yanayotibu maradhi sugu pamoja na aina flani ya maradhi yanayoathiri mfumo wa uzazi wa mwanaume
Japo tiba ya maradhi haya hutibiwa kwa vidonge, sindano, vifaa tiba na upasuaji. Kuna namna Ya kujitibu tatizo hili likiwa bado dogo bila ya kutumia dawa Ya aina Yoyote tena unaweza ukajitibu mwenyewe ukiwa nyumbani kwako
Kwa mujibu wa kituo kikubwa cha utafiti duniani cha Mayo clinic wanasema wanaume wenye tatizo la nguvu za kiume huenda wakapata moja ya dalili hizi ama zote kwa pamoja
●Kupungua kwa hamu ya kufanya mapenzi ●Kupata tabu sana kusimamisha uume ●Kushindwa kuhimili kusimamisha uume kwa muda mref (ndani Ya sekunde chache uume una lala)
NAMNA YA KUJITIBU TATIZO HILI
1 Mazoezi ni Tiba ya kwanza ya tatizo hili

Mazoezi husaidia mzunguko mzuri wa damu mwilini ambao ni muhimu kwa kukuhakikishia uimara wa usimamaji wa uume wako. Pia huimarisha presha ya mzunguko wa damu kwa kuongeza nitric oxide katika mirija ya damu, kitu ambacho dawa aina ya viagra hufanya katika mwili wako, kwa hiyo ni bora ufanye mazoezi kuliko kutumia viagra
2 Matunda na mboga za majani

Moja ya njia rahisi na inayopendelewa na wengi ni hii ya kula vyakula vyenye vitamins nyingi ambavyo hupatikan ndani Ya matunda na mbogamboga. Pendelea kula samaki zaidi kuliko nyama nyekundu, punguza ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi kama vile chips na aina nyingine ya mikaango
3 Usingizi au kulala ni dawa kubwa sana wa tatizo hili

Usingiz huchangia kwa kiasi kikubwa uzwalishaji wa hormone za mapenzi kama vile testosterone pia huongeza hamu ya tendo la ndoa. Mtu mwenye matatizo ya kutopata usingiz mzuri baada ya mda flani anaweza akapata matatizo ya nguvu za kiume kwa hiyo ushauri wa bure jitahid kulala japo masaa 6 wakati wa usiku
4 Acha uvutaji wa sigara

Uvutaji wa sigara husababisha mishipa ya damu kusinyaa hivyo kupelekea damu kupita kwa tabu jambo ambalo ni hatari kwa afya yako kwa ujumla na vilevile ni hatari kwa afya ya uzazi
5 Acha au punguza unywaji wa pombe

Mfumo wa neva (Central nervous system) ndio unaowajibika kuzalisha nitric oxide ambayo ni kemikali muhimu sana kwenye kuzalisha usimamishaji wa uume na kuhakikisha unaendelea kusimama, unywaji wa pombe uliopitiliza hukandamiza mfumo wa neva kitu ambacho kitasababisha mfumo huo kufanya kazi chini ya kiwango hivyo kupelekea uzwalishaji hafifu wa nitric oxide
6 Fuatilia kwa ukaribu dawa zako: yawezekana dawa unazotumia kutibu aina flani ya magonjwa zikawa ndo chanzo cha tatizo lako

Matatizo ya nguvu za kiume hueza kutokea kutokana na madhara (side effects) ya dawa zinazotumika kutibu magonjwa mengine mwilini. Dawa ambazo mara nyingi huwa chanzo cha matatizo ya nguvu za kiume ni dawa za kushusha presha, dawa za kutuliza msongo wa mawazo, dawa zinazotibu maradhi ya moyo, dawa za cholesterol, dawa za kutuliza matatizo ya akili, dawa za kuponya kansa hasa zile za chemotherapy. Kama unanimity dawa unazotumia ndio chanzo cha tatizo usijiachishe mwenyewe basi ongea na daktari wako akubadilishie dawa hizo akupe mbadala wake
7 Makomamanga au juisi yake

Tafiti zinaonyesha kuwa makomamanga huzalisha nitric oxide ya kutosha hivyo husaidia kuimarisha mfumo wa kinga mwilini na vilevile mfumo wako wa uzazi
8 Tumia maji ya baridi sana kuogea

Maji ya baridi yanafaida nyingi sana kiafya hapa tutaongelea kwa uchache jinsi gani ya kuyatumia, kwa wale wanaotokea mikoa yenye joto kali kama mikoa ya pwani basi asubuh mapema weka barafu katika maji yako ya kuogea japo mabara matatu kisha ukaoge maji hayo ila uhakikishe hauna maradhi Yoyote ya moyo. Na kwale wanaotokea mikoa yenye baridi kali kama vile mikoa ya Iringa, Njombe, Mbeya, na mikoa mingineyo unashauriwa kutoyachemsha maji yako ya kuogea. Jaribu hii Leo na nakuhakikishia baada ya wiki moja tu utaona mabadiliko mengi sana mwilini mwako.
Ebhana Niite Doctor Abdul
Daktari Mwenye Uzoefu wa zaidi ya miaka mitano.
Na kama unasumbuliwa Na Tatizo lolote la Afya ya uzazi kuanzia shahawa chache, uume kusimama kwa kulegea, kushindwa kurudia round mbili na kuendelea, kuwahi sana kumwaga, kushindwa kabisa kusimamisha na kushindwa kumpa ujauzito mwenzio. Basi Tiba Ninayo na Uhakika wa Kutatua Tatizo Lako ni Mkubwa Sana kwa zaidi ya Asilimia 90.
Unanipata Kupitia Nambari 0747 531 853
Lakini pia unaweza kunifuata kwenye Ukarasa wangu Wa Facebook kwa kubonyeza link hii https://www.facebook.com/profile.php?id=100083185003957&mibextid=ZbWKwL
Karibu Sana